Home » English » Tamba Magufuli Lyrics – Mbosso

Tamba Magufuli Lyrics – Mbosso

Tamba Magufuli Lyrics by Mbosso is latest English song with music also given by him. Tamba Magufuli song lyrics are written by Mbosso.

Tamba Magufuli Lyrics - Mbosso

Tamba Magufuli Song Detail

Singer: Mbosso
Composer: Mbosso
Lyrics by: Mbosso

Tamba Magufuli Mbosso

 

Mambo yame pamba moto ccmu
Chama number one kwetu si maneno
Hapa kazi wapinzani tumbo joto
Kila suhemu wako taabani ushindi
Kwa magu wazi wazi yenuru sau
Yauamuzi ndio sifa yake uhuru
Kaupinga ubaguzi kwa wandwake ye
Na wandngu sii ya wanachake
Vigeregere na miruzi shangwe kwake

Fungeni maturu bai (mkeshe mkisema)
Wala hamtupi shida (mkeshe mkisema)
Ccm twajidai (mkeshe mkisema)
Kwetu ushindi kawaida
Ooohh tena magufuli ameku ja na
Tiba sindano (acha wateseke)
Anachapa kazi babu yeye hand mfano (acha wateseke)
Tena ngangari hodari wa mapambano (acha wateseke)
Na tuko na wewe baba mbaka 2025 (acha wateseke)

Tambaa tamba tumekupa uwan ja
Tamba tambaa tamba
Warushe warushike roho zao
Tambaa tambaa
Wenye majibu watumbue
Leo tambaa tamba
Tamba baba lao

Twaomba akulinde mungu dua zetu sie
Fly over kama kwa wazungu tuna ndege zetu sie
Na haujatugawa mafunga yule na mie
Taifa moja sote kama ndugu acha kura tukupatie
Umepandana na sunami id corona lilipo ingia
ni amani kote sasa rushwa na unyanganyi
Tinga tinga umesagia mafisadi wote sasa
Hili ndilo chama langu nimezama mazima ccm
Dando jiji langu makonda nalidima ccm
Makamu wd raisi wangu mama sami halima ccm
Majaliwa waziri wangu katakata mashina ccm

Fungeni maturu bai (mkeshe mkisema)
Wala hamtupi shida (mkeshe mkisema)
Ccm twajidai (mkeshe mkisema)
Kwetu ushindi kawaida
Ooohh tena magufuli ameku ja na
Tiba sindano (acha wateseke)
Anachapa kazi babu yeye hand mfano (acha wateseke)
Tena ngangari hodari wa mapambano (acha wateseke)
Na tuko na wewe baba mbaka 2025 (acha wateseke)

Tambaa tamba tumekupa uwan ja
Tamba tambaa tamba
Warushe warushike roho zao
Tambaa tambaa
Wenye majibu watumbue
Leo tambaa tamba
Tamba baba lao

Tamba Magufuli Song Video

Share this: